Psalms 35:17

17 aEe Bwana, utatazama mpaka lini?
Niokoe maisha yangu na maangamizi yao,
uhai wangu wa thamani
kutokana na simba hawa.
Copyright information for SwhNEN